du kumbe moderator watu naombeni, na me niwe mod jamani
Basi wewe utakuwa na moyo wa jiwe na wala sio wa nyama.
Yaani umejikojolea kabisa?? Hahahahah
Nawapenda wote, vile vile nawachukia wote. Ikiwa tu watahukumu bila ya haki. VIVA JF. Aluta Continua.
Young_Master dear, nadhani tumechakachua topic vya kutosha.......ebu tuache thread iendelee ya kwetu tutaongelea pembeni!
i like RussianRoulette and dont ask why, cause i dont know...but all other mods are also good i see!!
du kumbe moderator watu naombeni, na me niwe mod jamani
moyo wangu wa nyama kabisa.....
Ila sigongani nao jamvini na ni mara chache wanakoment sasa nitawezaje kuwapenda au kuwachukia?
nampenda Cookie...
namchukia paw,alijifanya mjuaji na mbabe baadae akaja kugundua haifanyi kazi hio tactic yake.....sasa hivi watu wanakuwa banned ila sio kama enzi zake,kila siku lazima aondoke na mmoja jinsi alivyokuwa anapenda sifa
Mimi najua kuwa yupo mmoja tu
RussianRoulette - i love u my baby.
Mimi najua kuwa yupo mmoja tu
RussianRoulette - i love u my baby.
Niambieni kwanza kati ya hawa mamodi wenu nani kampiga ban Lizzy ?
mimi "moderator" wangu ni Mungu anaye-moderate mawazo yangu,anayenipa busara ya nini niandike na nikiandike kwa namna gani bila kuvunja taratibu husika za hapa!Glory to God!