vivaforever
Senior Member
- May 30, 2016
- 113
- 165
Pole mkuu! I can sense your disappointment, have a mercy on him as he is just a kid!sikutarajia kama ntakutana na bongo movie kwenye list yako mzee. yani pamoja na movie zoooote ulizowahi kiziona na bongo movie ni moja kati ya ambazo hautazisahahu?wewe co mpenzi sana ww movie au la umeanza kupenda movie juzi juzi....umenisononesha sana
Strike back kali sana japo ni series action mwanzo mwishoTransporter 1 na strike back series 1&2
mwanangu hiyo muvi naikubali kinoma yaani japo nimeona trelaOlympus Has Fallen
Kweli iseeeSt
Strike back kali sana japo ni series action mwanzo mwisho
Hahahahahaha!!!!!!!! Mbavu zangu!!!!!Kuna Hii Movie Ya Escrow bwana wee..!
Hii mpaka naingia kaburini sitaisahau
Hasa pale usiku bunge lilipokuwa linaendelea chini ya kiranja mkuu Makinda..!
Usofe in London....ilishika kipindi hicho.Kuna London has Fallen! Aibuu