Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

"i'm Jaguar Paw... son of Flint Sky... this is my forest... my father hunted here with me... and i'll hunt here with my children... and they'll hunt here when i'm gone"

MOVIE: APOCALYPTO
STARRING: JAGUAR PAW a.k.a RUDY YOUNG BLOOD
DIRRECTOR: MEL GIBSON
 
sikutarajia kama ntakutana na bongo movie kwenye list yako mzee. yani pamoja na movie zoooote ulizowahi kiziona na bongo movie ni moja kati ya ambazo hautazisahahu?wewe co mpenzi sana ww movie au la umeanza kupenda movie juzi juzi....umenisononesha sana
Pole mkuu! I can sense your disappointment, have a mercy on him as he is just a kid!
 
Kuna Hii Movie Ya Escrow bwana wee..!

Hii mpaka naingia kaburini sitaisahau
Hasa pale usiku bunge lilipokuwa linaendelea chini ya kiranja mkuu Makinda..!
Hahahahahaha!!!!!!!! Mbavu zangu!!!!!
 
R.E.D 1 na R.E.D 2;
Personal of Interest (series)!
Cinderella ya Kinigeria...yazamani sana zile zilizokuwa zinawekwa kwenye Video cassette (niliiangaliaga zamani kwenye vibada). Nimeitafuta mpaka nimechoka.
 
Back
Top Bottom