Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

Kuna Hii Movie Ya Escrow bwana wee..!

Hii mpaka naingia kaburini sitaisahau
Hasa pale usiku bunge lilipokuwa linaendelea chini ya kiranja mkuu Makinda..!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
SHAMBA KUBWA (Movie bora kuwahi kutokea Tanzania)


Lohhh nimecheka sana jamani
 
Mimi nimezikubali
1.behind enemy lines
2.taken
3.yamada samurai wa arathoya
4.Italian job
5.let it shine

Kibongo bongo mtanisamehe
 
Back
Top Bottom