FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
Hahaha!Bongo movie nyingi starring huwa wanajinyonga au kunywa sumu.
Ila Zipo Baadhi Ya Filamu Star Anaweza Akafa Hasahasa Kama Hiyo Movie Ni Historia Ya Kweli Kuhusu Maisha Ya Mtu Fulani Zamani.Nakumbuka series ya Prison Break alipofariki Scofield nilichukia sana nilasema sasa starring anakufaje?
Baada ya season 5 kutoka kumbe jamaa hakufa kidogo hasira zikapungua japo nayo wametuacha kiu haijakata.
Ahsante! Sio Mbaya Ukiendelea...Zipo nyingi tu mkuu;
1. Titanic.. Jacky anakufa mwishoni pale baharini kwenye barafu kali.
2. Godfather..
3. Kalhonaho..
4. Baazigar..
5. Scarface..
6. Blood Diamond..
7. The sixth sense..
8. Brave heart..
9. The Samaritan
10. U-Turn
Niendelee?
Yeah hizo za hivyo zipo ila ndio maana sikuzitaja kama Narcos na hizi za ancient korean dramas. Nyingi unakuta ni historia ya mtu na inafikia mahali lazima afe.Ila Zipo Baadhi Ya Filamu Star Anaweza Akafa Hasahasa Kama Hiyo Movie Ni Historia Ya Kweli Kuhusu Maisha Ya Mtu Fulani Zamani.
Hahahah hata mm nlitaka kusemaBongo movie nyingi starring huwa wanajinyonga au kunywa sumu.
Ongeza na terminatorZipo nyingi tu mkuu;
1. Titanic.. Jacky anakufa mwishoni pale baharini kwenye barafu kali.
2. Godfather..
3. Kalhonaho..
4. Baazigar..
5. Scarface..
6. Blood Diamond..
7. The sixth sense..
8. Brave heart..
9. The Samaritan
10. U-Turn
Niendelee?
Umenikumbusha! Je wajua Blood Diamond imekuwa shooted Sierra Leone, Congo DR, South Africa, Tanzania and Uganda (Kyaka in Tanzania, Mutukula Mbaale in Uganda)blood diamond pale mwisho jamaa alifaliki, dah nilikuwa naipenda sana hii muvi inahusu mapigano sababu ya almasi nchin Siera leone,pia jumong jamaa alikufa
Pia Kuna Movie Nyingine Ya Kitambo Ya Hollywood Ilikuwa Shooted TZ Tanga. Inahusu Masokwe! Hiyo Movie Jina Limenitoka!Umenikumbusha! Je wajua Blood Diamond imekuwa shooted Sierra Leone, Congo DR, South Africa, Tanzania and Uganda (Kyaka in Tanzania, Mutukula Mbaale in Uganda)