Ni movie gani ulishawahi kuiona ambayo Starring anakufa?

Ni movie gani ulishawahi kuiona ambayo Starring anakufa?

Salamu!

Kama Kichwa Cha Habari Kinavyouliza, Je Ni Movie Au Filamu Gani Ulishawahi Kuitazama Ambayo Star Wake Alikufa Ikiwa Ni Sehemu Ya Story Ya Filamu Hiyo?
Movie ya mfalme Jiwe[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Movie za Diezel Washington sijui yule bwana huwa ana shida gani?
 
Kuna movie moja hv ya kihindi stering mbwa daah ile movie wahindi waliteka sana hisia ni bonge la movie
 
Back
Top Bottom