Ni movie gani ulishawahi kuiona ambayo Starring anakufa?

Ni movie gani ulishawahi kuiona ambayo Starring anakufa?

Zipo nyingi tu mkuu;

1. Titanic.. Jacky anakufa mwishoni pale baharini kwenye barafu kali.
2. Godfather..
3. Kalhonaho..
4. Baazigar..
5. Scarface..
6. Blood Diamond..
7. The sixth sense..
8. Brave heart..
9. The Samaritan
10. U-Turn

Niendelee?
Terminator sikumbuki namba ngapi Arnold anakufa mwishoni
 
Kasim karim na dharmendra

Babake na suny deol alikata moto kwa kuzuiaa risasi
Ndo Manake Mkuu,
Adui Mzee Ashanti au Amrish Puri.
Ile movie ndio kati ya movie chache za kihindi nazozielewaga
 
Ndo Manake Mkuu,
Adui Mzee Ashanti au Amrish Puri.
Ile movie ndio kati ya movie chache za kihindi nazozielewaga
Mission ya kuwalinda wafungwa ilikua ngumu lolote lingetokea kwa wafungwa basi wasingepata mtoto

Kuna nyingine inaitwa "jeet" kacheza salman khan na suny deol mwishoni alikufa suny deo
 
Niliwahi ona movie moja ya kihindi staring alikufa alafu akazaliwa mwingiene wamefanana vile vile na yule wa mwanzo,
Kilichofuata nilizima tv nikaend kulala.
Ipo nyingine inaitwa Karan & Arjun. Wanakufa halafu wanazaliwa tena!
 
Back
Top Bottom