Ni movie gani ulishawahi kuiona ambayo Starring anakufa?

Ni movie gani ulishawahi kuiona ambayo Starring anakufa?

lost- jack sherphard anakufa mwishoni
PleasingElderlyDogwoodtwigborer-size_restricted.gif
 
SURE FIRE ... DONNIE YEN ALIPIGWA RISASI UFUKWENI NA WAUZA MADAWA AKAFA AJABU MOVIE IKAENDELEA ETI
 
Kuna movie moja ya kijapani inaitwa bushido man, staring alipigwa kikali akaanguka chini alafu maandishi ya casting yakaanza kupanda juu. Nikaanza kujiuliza inamaana adui ndio kabaki hai halafu staring kafa, nikashangaa staring kashika maandishi ya casting anayarudisha chini akasimama tena kupapana na adui mpaka adui alipokufa ndio movie ikaisha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mkuu umenikumbusha hii movie, hata mimi nilishangaa sana eti Hero wa movie anauliwa na kibabu tu mpaka hasira, ila ghafla nikaona mkono unatokea kwa juu unashusha maandishi, nilicheka sana. wachina sio watu
 
Ni wajapani aiseee[emoji23] [emoji23]
 
mi kuna movie flan hivi inaitwa
SLP DONNIEN NA SOM HONG
DON anakufa ni bonge la movie
 
Niaje WanaJF!

Kama Kichwa Cha Habari Kinavyouliza, Je Ni Movie Au Filamu Gani Ulishawahi Kuitazama Ambayo Star Wake Alikufa Ikiwa Ni Sehemu Ya Story Ya Filamu Hiyo?
Movie ya jet li THE BODYGUARD jet li alipigwa kisu cha kifua kutoka kwa adui BILLY CHOW akimuokoa mpenzi billionaire yeung
 
Za Arnold Schwarzenegger,terminator 2 na end of days
 
Ndio Mdau,nilikuwa lonely sana wakati huo,baada ya li kupigwa kisu
Ooh pole mdau,
U lonely ulizidi nahisi hta hukuimalizia,
Hakufa pale,baadae akamrushia kile kisu kikamchoma shingoni adui,
Mwishoni michelle anajaribu kuwahi boda ya china na hongkong kuwahi kumuona allan mara ya mwsho anachelewa na walinzi wanawakazia,anapewa zawadi kwny box anakuta ile saa ya kpnd kileee na bonge po mzee wa kubet anakuta allan kamuachia hela ya kumlipia mwanae ada.
 
Ooh pole mdau,
U lonely ulizidi nahisi hta hukuimalizia,
Hakufa pale,baadae akamrushia kile kisu kikamchoma shingoni adui,
Mwishoni michelle anajaribu kuwahi boda ya china na hongkong kuwahi kumuona allan mara ya mwsho anachelewa na walinzi wanawakazia,anapewa zawadi kwny box anakuta ile saa ya kpnd kileee na bonge po mzee wa kubet anakuta allan kamuachia hela ya kumlipia mwanae ada.[/QUOTEAAAahsante Mkuu,uko vzur kwel,mkuuu ukiangalia ile movie final baada ya jet li kupigwa kisu kweny ule msafara wa mwisho huyo hakuwa jet li mkuuu, niliamua k
 
Back
Top Bottom