Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TroySalamu!
Kama Kichwa Cha Habari Kinavyouliza, Je Ni Movie Au Filamu Gani Ulishawahi Kuitazama Ambayo Star Wake Alikufa Ikiwa Ni Sehemu Ya Story Ya Filamu Hiyo?
Blood diamond nilitamani sana jamaa angerudi mjini akatoe picha kamli ya ulanguzi ule.Zipo nyingi tu mkuu;
1. Titanic..
2. Godfather..
3. Kalhonaho..
4. Baazigar..
5. Scarface..
6. Blood Diamond..
7. The sixth sense..
8. Brave heart..
9. The Samaritan
10. U-Turn
Niendelee?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] WatanzaniaMitano tena,. 2021
Carlito's WaySalamu!
Kama Kichwa Cha Habari Kinavyouliza, Je Ni Movie Au Filamu Gani Ulishawahi Kuitazama Ambayo Star Wake Alikufa Ikiwa Ni Sehemu Ya Story Ya Filamu Hiyo?
Kwa mfano.....Nyingi tu
Ragnar Rothbrok, the vikingsSalamu!
Kama Kichwa Cha Habari Kinavyouliza, Je Ni Movie Au Filamu Gani Ulishawahi Kuitazama Ambayo Star Wake Alikufa Ikiwa Ni Sehemu Ya Story Ya Filamu Hiyo?
TerminatorKwa mfano.....