Ni movie gani ulishawahi kuiona ambayo Starring anakufa?

Ni movie gani ulishawahi kuiona ambayo Starring anakufa?

Iris, season 1! Kim yun jun anachapwa risasi na sniper akiwa kwenye gari akitoka kuchukua pete kwa ajili kumvisha Suen te e ambaye alikuwa kwenye mnara akimsubiri mshikji. Hiyo scene ilinifanya nipoteze mood kufatilia season 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emperor of the sea
Gu am hae jun
Gybaek
Queen seonduk
A soldier,also know as god of war
Seoul 1945
Iris 1&2
Athena
Age of warriors
Princes jamyoung go
King geonchogo nk
 
Iris, season 1! Kim yun jun anachapwa risasi na sniper akiwa kwenye gari akitoka kuchukua pete kwa ajili kumvisha Suen te e ambaye alikuwa kwenye mnara akimsubiri mshikji. Hiyo scene ilinifanya nipoteze mood kufatilia season 2.

Sent using Jamii Forums mobile app
Season 2 kuna uncle Jang hyuk mzee wa vicheko japo naye anajitoa mhanga mwishoni
 
Ooh pole mdau,
U lonely ulizidi nahisi hta hukuimalizia,
Hakufa pale,baadae akamrushia kile kisu kikamchoma shingoni adui,
Mwishoni michelle anajaribu kuwahi boda ya china na hongkong kuwahi kumuona allan mara ya mwsho anachelewa na walinzi wanawakazia,anapewa zawadi kwny box anakuta ile saa ya kpnd kileee na bonge po mzee wa kubet anakuta allan kamuachia hela ya kumlipia mwanae ada.
Bonge Po nalikubali sana. Kwenye Muvi zake lazima lizingue kwa ujinga ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zipo nyingi tu mkuu;

1. Titanic.. Jacky anakufa mwishoni pale baharini kwenye barafu kali.
2. Godfather..
3. Kalhonaho..
4. Baazigar..
5. Scarface..
6. Blood Diamond..
7. The sixth sense..
8. Brave heart..
9. The Samaritan
10. U-Turn

Niendelee?
Endelea Mkuu
 
Back
Top Bottom