Ni movie gani ya Kihindi inakusisimua?

Ni movie gani ya Kihindi inakusisimua?

Lyrics Master

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Posts
479
Reaction score
670
Nakumbuka kuanzia miaka ya 1990 Hadi 2006 na sita hivi, nilikuwa napenda Sana movie za kihindi...

My favorite actor ni mzee mzima Sunny Deol...

My favorite movie inaitwa Ziddi...

Je, wewe ndugu yangu movie Gani ya kihindi Hadi leo inakusisimua

images (22).jpeg
 
Kuna ile ambayo jamaa alisingiziwa kesi ya mauaji na akaswekwa Lupango
Mwishowe anaachiwa huru ila mchizi hakukubari akaamua kwenda kumuua aliye msingizia kuwa kauwa
Ili akafungwe vzuri
Sijui inaitwaje ile movie
sterling anaitwa nani? ukinitaji tu sterling mimi nakuja na jina la movie
 
Nimeangalia movie zake nyingi sana shida ni kukumbuka majina daah but the guy yuko vzuri sijajua kama bado anaigiza hadi saivi
Koyla ni ile movie ameigiza Kama bubu yupo na mzee mzima marehemu Amri Puri Kama kubwa la maadui.

images (23).jpeg
 
3 idiots(imeigizwa na Amir Khan), hii inakosoa mfumo wa elimu hasa mambo ya kusomea ajira baadala ya kusomea unachopenda
 
Kuna ile ambayo jamaa alisingiziwa kesi ya mauaji na akaswekwa Lupango
Mwishowe anaachiwa huru ila mchizi hakukubari akaamua kwenda kumuua aliye msingizia kuwa kauwa
Ili akafungwe vzuri
Sijui inaitwaje ile movie
andha kanoon ya Amitah Bachan. Usipokua mgumu lazima utoe machozi, tena pale amitah anamzika mwanae. ni bonge picha
 
Back
Top Bottom