Ni movie gani ya Kihindi inakusisimua?

Ni movie gani ya Kihindi inakusisimua?

Ae Dil Hai Mushkil
IMG_0612.jpg


Kwa vile jamaa alibakishwa friendzone hadi mwisho wa Movie.
Naifananishaga kama mm ilikuwa chuo nliwekwa friendzone hivyo hivyo nkajaribu kufurukuta lakini wapi nkaambiwa “it’s better if we’re friends sitaki kuharibu our friendship” basi jamaa nkatulia nkajipa hope

Turned out akatokea jamaa akampa gari na business dem akawa engaged mm niko chuon ntacompete na mtu kama huyo wapi na wapi, basi nkatulia nikaalikwa kwenye ndoa sikwenda though huyo wa kwenye movie yeye alienda. hiyo ni favourite movie yangu nimeangalia mara ngapi sikumbuki maana ni unhealthy jinsi nilivyoirudia
 
A
Nimeangalia movie zake nyingi sana shida ni kukumbuka majina daah but the guy yuko vzuri sijajua kama bado anaigiza hadi saivi
Anaigiza mpaka leo ,na January 23 anaachia movie inaitwa Pathaan ,yupo yeye na Deepika Padukone ,adui John Abraham ,imetayalishwa na Yash Raj Film (YRF).
 
IMG_9675.jpg

Tafuta hii movie kama unataka kucheka na kusikitika kwa pamoja

Wanaongea english na kihindi

Ni nzuri sana
 
Back
Top Bottom