Naseer Udin Shah aliwafumua vilivyo Akshay na Sunil.hatari sana hii movie..unamkuta Sunil Shetty, Akshay Kumar, Raveena Tandon, Paresh Rawal na mzee mzima Naseeruddin Shah ambaye anajifanya kipofu kwenye hii movie
Kinachokuliza ni nini?Hii kuch kuch, nimeirudia zaidi ya mara 10. Na kila nikiiangalia lazima nilie.
Anaigiza mpaka leo ,na January 23 anaachia movie inaitwa Pathaan ,yupo yeye na Deepika Padukone ,adui John Abraham ,imetayalishwa na Yash Raj Film (YRF).Nimeangalia movie zake nyingi sana shida ni kukumbuka majina daah but the guy yuko vzuri sijajua kama bado anaigiza hadi saivi