Suleiman mchawi WA Rhymes
JF-Expert Member
- Apr 24, 2022
- 405
- 1,008
Si mchezo hiyo movie director Taylor perryAcrimony
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifaMada inazungumzia movies wewe unakuja na maswala ya vitabu!!!
Wahuni pia ni watuPrisonbreak. Nilichojifunza ni
kuheshimu watu na taaluma zao
Kwenye prison break nimejifunza ku treat watu vizuri na kuwa mwema(michael)Prisonbreak. Nilichojifunza ni
kuheshimu watu na taaluma zao
Sahihi kabisa mkuuKwenye prison break nimejifunza ku treat watu vizuri na kuwa mwema(michael)
Kuwa na upendo na ndugu yako(Michael na Lincoln)
Kuna watu wako vizuri kiakili tofauti na matendo yao(T bag)
Hzi movies ukiacha kutuburudisha zinatuachia mafunzo piaKwenye prison break nimejifunza ku treat watu vizuri na kuwa mwema(michael)
Kuwa na upendo na ndugu yako(Michael na Lincoln)
Kuna watu wako vizuri kiakili tofauti na matendo yao(T bag)
Very touchingStonning of Soraya M
Movie moja ambayo iko based na true story setting nchini Iran, inahusu mwanamke ambae anasingiziwa kuzini nje ya ndoa na alihukumiwa kufa kwa kupigwa mawe
Mchongo mzima uliratibiwa na mumewe akishirikiana na viongoz wa dini waliopitisha hukumu iyo huku wakijua sio kweli.
Movie hii inanifundisha kua Sharia zikitumika vibaya zinaweza kusababisha watu flani kuonewa au kunyimwa haki zao.
KabisaHaha morgan freeman akiongea unasikiliza.
Ya iliwika sanaaa daahMimi Movie ya "Slum Dog Millionaire" aisee ile ni movie yangu bora ya muda wote,
Inaelezea kijana yatima alivyopambana na maisha ya kitaa mpak kuja kuwa millionaire baad ya kushinda shindano la kujibu maswali.. Na kilichomfanya mpk akajibu maswali yote bila kukosea,
Ni kwasababu maswali yote aliyokuw anaulizwa majibu yake alishakuw ameya experience kipind yupo Chokoraa mtaani ila ilikuj kunihuzunisha tu mwshon kaka yke na hyo dogo alikufa wkt hyo dogo alikuw anampenda san kaka yke na walihustle wote mtaani tang watoto,
Ila Dem wa huyo dogo nd alibaki mpk mwsho na wakaendelea kuenjoy umilionea wa jamaa(yeye na dem wake pia wote walikuw ni watt wa Mtaani na walianz kupendan tangu watot ila wakapotezan na walikuj kkutan ten ukubwan kabla dogo hajawa milionea),
Ile movie ilijua kupangiliwa na Hadi tuzo za Filamu za kidunia Za OSCAR waliipa ushindi ile movie kam Filamu bora ya Mwaka(sikumbuki ni Mwaka gan ila ni kati ya 2015-17) nahis ni kat ya hapo.
Morgan was here too'Brooks was here'!
Nami nimetokea kuielewa sana hii movie, napenda pia namna ya masimulizi yake kutoka kwa mwanba Morgan.