Ni mpambano mkali kati ya Jokate na Makonda

Hivi Jokate ana cv gani ya kielimu, maana huyu mwenzie tunajua na std VII pure...afu anajiona mjanja kuliko wote afu kawekwa Dar yaani anajiona Trump

Sent using Jamii Forums mobile app
 
team line ups:
Team Jokate: Mwakyembe, Kigwangalla, mashabiki wote wa konki liquid,
Team Makonda: ?????
 
Mtoa post hauna jipya hiyo ni personal interests zako.
 
Watu wangine sijui habari wanapata vipi?
 
Hivi Jokate ana cv gani ya kielimu, maana huyu mwenzie tunajua na std VII pure...afu anajiona mjanja kuliko wote afu kawekwa Dar yaani anajiona Trump

Sent using Jamii Forums mobile app

Jokate ana degree ya political science and public administration, kielimu jokate yupo juu sana, makonda hana analofanya ndio maana unaona kila siku anakimbizana na steve nyerere na lemutuz, hamna kazi anayoifanya
 
Fisiem ni fisiem tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Msimpaishe sana uyu demu mwisho akakoswa na DC wenyewe.


Bashite na Baba yake wamekula viapo

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
 
Msimpaishe sana uyu demu mwisho akakoswa na DC wenyewe.


Bashite na Baba yake wamekula viapo

"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Wanaongea kwa chuki tu kujifurahisha,lakini Joketi kwa Makonda ni mtoto mdogo sana,Labda ingekuwa mama Kairuki kidogo.Makonda anakubalika sana na mtawala,nadhani ni number 1 mana kama ilishindikana kwa Ruge aliyekuwa karibu na watawala wote sembuse Hutu bint Xgirlfriend wa Kiba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…