Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu

Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu

Smart911 sweetlove yupo vizureeeeeeee
Thanks God for this Wonderful lucky man heheheee nampendajeeee

my eyes

sweetlove what? you know L.O.V.E means Legs Open Very Easy and what sweets exactly ar u proposing!

kwa hiyo mnaturingishia humu na Smart911 yaani mnaboa nyinyi bana kila saa ni ku-tag-ana.

haya mapenzi ya mwezini kila mtu akienda basi dunia ijue pyeee
 
mahondaw wangu... Usiumize kichwa to explain anything to anyone... Stay calm super dear... Lets focus on us, leave the world behind...

Wanacheza na akili yako uwe unachukia chukia kila mara...

Usisahau kuja, kama nitakuwa sijarudi bado u know what to do mahondaw wangu...

jirani

akili imeingia malaria sugu!
 
Jana ulinihenyesha lakini mahondaw wangu... Nakuona umenuna, kila navyokubembeleza useme whats wrong... Hutaki, nikikuuliza unataka nini husemi.. Nikikuuliza nikupe nini unasema hakuna kitu... You are fine...

Daah nimekubembeleza mpaka basi, bado umenuna.. Mwisho kabisa ndiyo unanikumbatia ati unasema Smart911 kwani hujui napokuhitaji, nakutaka wewe...

Kilichoendelea hapo... Wacha nikae kimya mahondaw wangu...
Afu nyie mnaboa na tujimapenzi uchwara kila thread nyie tu.

Badilikeni
[HASHTAG]#Ssssssssssssshhhhhhhhhbhhhhhhhhhhhh[/HASHTAG]

Hot kisses Smart911 love
Muah muah muaaaaah Mmmmmmmmmmmmmmmmmmuaaaaah

You know what to do
 
Enzi za ujana wangu kuna bidada alikuwa ananifuatilia nikiwa sipatikani ana park gari nje ya nyumba yangu halafu ananisubiri hapo hata nije usiku wa manane vipi haondoki.

Akifikiri atanifuma narudi na kimwana.

Siku moja nikarudi usiku sana napanda ngazi mara nasikia mtu ananiita, nikashtuka.

Ujana maji ya moto.
 
Sure man, hawa watu huwa wanateka threads za watu na kuzifanya zao za kujiongeleshea mapenzi ya nyuma ya keyboard.

Washkaji huku kwetu wanawamind mbayaaa na kuna kitu wanataka fanya. Mi nasubiri nione watafanya nini.
Mi wananikela sana thread tamu kama hii unakutana na mikomenti yao chungu nzima inakera mno Mara baby Mara sijui nn watu wenyewe maroboti tu hata hawajuani
 
Sure man, hawa watu huwa wanateka threads za watu na kuzifanya zao za kujiongeleshea mapenzi ya nyuma ya keyboard.

Washkaji huku kwetu wanawamind mbayaaa na kuna kitu wanataka fanya. Mi nasubiri nione watafanya nini.

Kila sehemu Smart911 na mahondaw ni ku-tag-ana halafu wanaanza mambo ya jana walivyofanyana.

nisiwachokoze mods maana wiki iliyopita nilikuwa ban.

na hawa mamode wangekuwa wanaacha tuwafundishe watu huku.

hawa wangeweka id alafu wanaanza ku-baby-shana huku mxiuuu zao
 
Kuna kadem Kalipita Kibalazan Mi Nikakaita Kalikuwa vzr sana kana lafudhi ya kipemba Mtandio Full

Cha ajabu Nikakatongoza kakakubali Siku iyo iyo nikaambia kaje geto Eehh si kakaja Wakat Najiandaa kuvua nguo Si mwenzangu Naona ananikodolea macho namuuliza Vp Wala hanijib

Kwanin Asianze kunguruma kama Chura yupo ktk shimo tif tif lilotokea Hapo acha tuuu
[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] nimecheka sana
 
Kwakweli namshukuru aliye juu kwa hilo, ila kuna wakati hata mimi nlikw naona aibu coz nimepigwa zaidi ya pasi huku nyuma hadi vitako kama vimeingia ndani akyamungu ila nikaja kuona kawaida tu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] JF na watu wake aiseee, sasa mkuu wanaume si ndio mlivyo? Ungekuwa na kalio je [emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom