Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu

Smart911 sweetlove yupo vizureeeeeeee
Thanks God for this Wonderful lucky man heheheee nampendajeeee

my eyes

sweetlove what? you know L.O.V.E means Legs Open Very Easy and what sweets exactly ar u proposing!

kwa hiyo mnaturingishia humu na Smart911 yaani mnaboa nyinyi bana kila saa ni ku-tag-ana.

haya mapenzi ya mwezini kila mtu akienda basi dunia ijue pyeee
 

jirani

akili imeingia malaria sugu!
 
Afu nyie mnaboa na tujimapenzi uchwara kila thread nyie tu.

Badilikeni
[HASHTAG]#Ssssssssssssshhhhhhhhhbhhhhhhhhhhhh[/HASHTAG]

Hot kisses Smart911 love
Muah muah muaaaaah Mmmmmmmmmmmmmmmmmmuaaaaah

You know what to do
 
Enzi za ujana wangu kuna bidada alikuwa ananifuatilia nikiwa sipatikani ana park gari nje ya nyumba yangu halafu ananisubiri hapo hata nije usiku wa manane vipi haondoki.

Akifikiri atanifuma narudi na kimwana.

Siku moja nikarudi usiku sana napanda ngazi mara nasikia mtu ananiita, nikashtuka.

Ujana maji ya moto.
 
Sure man, hawa watu huwa wanateka threads za watu na kuzifanya zao za kujiongeleshea mapenzi ya nyuma ya keyboard.

Washkaji huku kwetu wanawamind mbayaaa na kuna kitu wanataka fanya. Mi nasubiri nione watafanya nini.
Mi wananikela sana thread tamu kama hii unakutana na mikomenti yao chungu nzima inakera mno Mara baby Mara sijui nn watu wenyewe maroboti tu hata hawajuani
 
Sure man, hawa watu huwa wanateka threads za watu na kuzifanya zao za kujiongeleshea mapenzi ya nyuma ya keyboard.

Washkaji huku kwetu wanawamind mbayaaa na kuna kitu wanataka fanya. Mi nasubiri nione watafanya nini.

Kila sehemu Smart911 na mahondaw ni ku-tag-ana halafu wanaanza mambo ya jana walivyofanyana.

nisiwachokoze mods maana wiki iliyopita nilikuwa ban.

na hawa mamode wangekuwa wanaacha tuwafundishe watu huku.

hawa wangeweka id alafu wanaanza ku-baby-shana huku mxiuuu zao
 
Hhahha
 
[emoji196] [emoji196] [emoji196] [emoji196] nimecheka sana
 
Kwakweli namshukuru aliye juu kwa hilo, ila kuna wakati hata mimi nlikw naona aibu coz nimepigwa zaidi ya pasi huku nyuma hadi vitako kama vimeingia ndani akyamungu ila nikaja kuona kawaida tu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] JF na watu wake aiseee, sasa mkuu wanaume si ndio mlivyo? Ungekuwa na kalio je [emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…