binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Are they daladala au Tax? 🤔 Ohh nimesahau kuwa upo Tandale-popobawa!Asante asante.
Leo nitaendelea kufukua yako ya zamani nicheke🤣,ngoja nidandie daladala nisije kanyaga nyanya za watu asubuhi yote na sina pesa ya kulipa .
Umefanya hadi niangalie google kama kwetu tandale kuna sehemu inaitwa popobawa.Are they daladala au Tax? 🤔 Ohh nimesahau kuwa upo Tandale-popobawa!
Akuuzie?bado unaye mkuu?
Mkwe alikula pesa zangu nyingi saanaaMkwe! Kumbe wewe ni jambakaa🙄
Unatoaje hela kizembe?Mkwe alikula pesa zangu nyingi saanaa
Nilikuwa ninashida na mbususuUnatoaje hela kizembe?
Fanya uoeNilikuwa ninashida na mbususu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mm nilikutana na kidem Cha form six mwaka flani nikakipiga sound kipindi hicho nipo second year nafukuzia kadigrii kangu
Oneday akaja getto nikaforce kupiga mzigo mtoto kagoma. Mida ikasogea mpaka nikakata tamaa, kumbe na kenyewe kana kipuro hatari ila hakataki tu kunipa kirahisi[emoji41] basi nikabembeleza kidogo kale matunda then nikasindikize.
Time ya kuondoka imewadia mtoto hataki kuondoka badae akaniambia nimpe kalamu na karatasi kuna kitu anataka aandike.
Nilishangaa[emoji2960]mtoto ananipa kalamu eti tia saini hapa[emoji12] nilivyosoma kumeandikwa leo nakupa ila ukiniacha nakuua[emoji23][emoji23][emoji23]. Nilisaini chapu nikaitandika papuchu. Baada ya hapo kila siku alikua anakuja anachezea.
Kukubali nini tenaSawa,
Nasubiri ukubali mkwe.
we jamaa nimecheka sanaWanajifunguaga kwa operation wengi wao.
Halafu nasikia vina nguvu haswa..wanaweza kujifungua huku wamesimama kama nyumbu halafu wakamdaka mtoto kabla hajadondoka chini.
Ukubali mwanangu akuoeKukubali nini tena
SawaUkubali mwanangu akuoe
Eng, upo?? Heshima kwako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante sana. Maali shingapSawa
Ngombe hamsini Sawa na nguruwe wangapi??Maali❌
Mahari✅
Ng'ombe 50
Nguruwe 40Ngombe hamsini Sawa na nguruwe wangapi??
Nna fuga nguruwe tuu hapa