Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu

Ni mpenzi mwenye kituko gani uliwahi kumpata? Mimi nilimpata huyu

Mm nilikutana na kidem Cha form six mwaka flani nikakipiga sound kipindi hicho nipo second year nafukuzia kadigrii kangu

Oneday akaja getto nikaforce kupiga mzigo mtoto kagoma. Mida ikasogea mpaka nikakata tamaa, kumbe na kenyewe kana kipuro hatari ila hakataki tu kunipa kirahisi[emoji41] basi nikabembeleza kidogo kale matunda then nikasindikize.

Time ya kuondoka imewadia mtoto hataki kuondoka badae akaniambia nimpe kalamu na karatasi kuna kitu anataka aandike.

Nilishangaa[emoji2960]mtoto ananipa kalamu eti tia saini hapa[emoji12] nilivyosoma kumeandikwa leo nakupa ila ukiniacha nakuua[emoji23][emoji23][emoji23]. Nilisaini chapu nikaitandika papuchu. Baada ya hapo kila siku alikua anakuja anachezea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom