Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
[emoji4] hivi kubikiri nikufanyaje huwa naskia skia tu nisimulie basiMi sina stori nilibikiriwa na mme ,si unajua zamani walivyokuwa wakiolewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji4] hivi kubikiri nikufanyaje huwa naskia skia tu nisimulie basiMi sina stori nilibikiriwa na mme ,si unajua zamani walivyokuwa wakiolewa
Daby tatizo anatumia sana uganga na mkuyati lile vulbi lankongo kwa hio anaona aibu kuleta stori zake hapa na ni kinyume na masharti ya mgangaAaaa achana na daby kwanza ye hajaleta story hata moja humu alete kwanza yeye halaf ndio aseme we muongo
Kwa hiyo we hukuta vitu used tu sio,,,bikra ni kama unavyofungua bia au soda au redbul mwenyewe[emoji4] hivi kubikiri nikufanyaje huwa naskia skia tu nisimulie basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani huyu hana demu wala hana mke . Ni ana Mademuuuuuuu.
Kianzia tz hadi kenya
Wewe hapo.Nani huyo daby?
Wacha wee..Kwa hiyo we hukuta vitu used tu sio,,,bikra ni kama unavyofungua bia au soda au redbul mwenyewe
Nishakuambia huyu anaruka ruka sana ndio maana.Kwa hiyo we hukuta vitu used tu sio,,,bikra ni kama unavyofungua bia au soda au redbul mwenyewe
Basi anaogopa tutamstukiaa basi ajifanye anasimulia rafiki zake wakati muhusika yeyeDaby tatizo anatumia sana uganga na mkuyati lile vulbi lankongo kwa hio anaona aibu kuleta stori zake hapa na ni kinyume na masharti ya mganga
Haha wewe ni chizi...wazee gani hahNishakuambia huyu anaruka ruka sana ndio maana.
Mara unamkuta kapenda wazee mara kawekwa ndani na madam.
Halaf watu wanapenda profile yako wakati sio wewe [emoji23][emoji23][emoji23]Wacha wee..
Wacha nijisogeze karibu nikusikie vizurii eeeeh
[emoji23][emoji23] [emoji38][emoji38] jamaniNishakuambia huyu anaruka ruka sana ndio maana.
Mara unamkuta kapenda wazee mara kawekwa ndani na madam.
[emoji23][emoji23][emoji23]Wewe hapo.
Manake huyu daby amenipa tabu sana.
Yaani mimi mchimba mashimo ya taka hapa manzese huwa nawashangaa tu.Halaf watu wanapenda profile yako wakati sio wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Bila shaka ni huyo Honda na smart wanakera sana sijui wanamfaidishaga nani jukwaanikuna bwana amesha amini mimi navuta bangi kwa kujificha, maana huwa nacheka sana nikiwa nasoma bandiko hili na moja la sehemu hatarishi mtu alizo wahi do.
ila kuna panzi wa 2 huwa wanakatisha furaha yangu kwa utoto wao wa hali ya juu basi tu huwa hawajui
Ha haa usimfanyie hivo mwenzio buanaNikiwa bado msichana nilidate kidogo na kaka mmoja hivi, kwakweli hadi leo sielewi alikuwa na tatizo gani na mimi,
Kwanza hata hakunitongoza ilitokea tu kufahamiana kupeana mawasiliano then tukajikuta tunawasiliana kwa simu kama mwezi hivi coz alienda mkoa mwingine kufungua office then akarudi, Aliporudi tukaonana tu siku hiyo hiyo. Tulivyoonana tu tukahug salamu tu mambo-poa, za siku - nzuri, nikachukua wine nikawa nakunywa apo mara touches zikaanza coz tulikutana kwake, mambo yakajipa tukagegedana basi jioni ikawa tayari akanirudisha kwetu, njiani kwenye gari hakuniongelesha kabisa nikajua kawaida tu, basi akanidrop home kimya kimya yaani ni ile bye bye. Basi Ndugu zangu nilijishtukia si kidogo nikajiuliza what have I done wrong , niliwaza sana baadae kama saa 5 usiku hivi akanitext akanichatisha how sex was good, ameenjoy na vitu kama hivyo. Angalau nikajipa moyo kuwa nothing was wrong.
Basi bwana mtindo ukawa hivyo kukutana, kuromance, kugegedana, kurudishwa home. Yaani hata mkienda out hamna stori ni kula kunywa na kurudi, yaani tunakuwa kama tumenuniana but ukimuangalia unagundua kabisa he is happy.
mhhh nikaja kumfahamu rafiki ake mmoja hivi nikamuuliza kuhusu tabia ya mshkaji wake akasema mbona ni mtu muongeaji tu wakiwa nae. Nikahisi labda hajanizoea, mtindo ukawa vilevile kuongea ni salamu tu au ukimuuliza swali atajibu kwa kifupi sana.
Siku moja akanitext saa saba uje somewhere ntakuwa na washkaji tupate lunch nikamwambia ntachelewa kama dakika 30 hivi, ila sikuchelewa hata dakika 2, kufika nikawaona wamekaa kona hivi wameipa mgongo sehemu yakuingilia, so naingia hawanioni isipokuwa mmoja ndo macho yalikuwa sehemu yakuingilia, jamani jamani nilimsikia mwanaume wangu anaongea yaani anaongea MC hamfikii, nikajiuliza huyu ndiye kweli, alivyoshtuka mi nipo nyuma yao alipoa kama maji na hakuongea hadi tunaondoka.
Siku nyingine nikamuomba anywe bia kama 7 hivi maana alikuwa sio mnywaji sanaaa, akanywa hoping labda akilewa ataongea wapiiii, hakuongea neno hata moja, jamani huyu sijui alikuwaje, mkimaliza kugegedana mkishaachana anaanza kukuchatisha, sijui how was it, kwangu it was so damn good sijui ninini, atakuchatisha kila mara anapopata muda ila hawezi kupiga simu hata siku moja, hata ukiwa nae physically haongeiiii, utamwambia kitu atajibu utamchekesha atacheka kidogo tu basi, ukimuuliza kama ana tatizo anajibu hana.
Maisha yakawa hivyo hivyo almost kwa miezi kadhaa nikawa naona ananiboaaa maana mi ni mtu wa utani sana afu muongeaji plus napenda kuchekaaa, nikawa bored nikampotezea nikamblock kabisa, tukapotezana kama miaka 5 hivi Nikaja kusikia amehama kikazi.
Majuzi nimekutana nae airport dar, nipo lounge ye alikuwa wa kwanza kuniona kaja kunisalimia baada ya salamu akakaa pembeni kimya kama hanijui. flight yao ikawa ya kwanza kuondoka kanipa business card eti unitafute tafadhali mfyuuu sijamtafuta hadi leo.
Pm ya Geahabibu ipo under surveillance usije ukajaribu kum pmWacha wee..
Wacha nijisogeze karibu nikusikie vizurii eeeeh
Ndio yeye.Halaf watu wanapenda profile yako wakati sio wewe [emoji23][emoji23][emoji23]