Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu ila maelezo yako yalinifanya nihisi ww ndo baharia ulochukua 1 M ya binti flani hiv chibongeeeeeAhhaa ilikuwa hela ndogo tuu mkuuu
bila shaka umesoma ITSijawai kutana na kaka wa ajabu kama nilietoka achana nae... Yaani atakua na matatizo ya akili, si kwa vituko hivi... Yaani unaweza kuta usiku wa manane anakuja kukugongea mlango eti amekumisi., usipomfungulia mlango atazunguka dirishani na kukugongea weee mpaka akichoka ataondoka. Wakati nipo nae nilidhani ni mapenzi... Yaani anaweza kaa nje akusubiri utoke, mgeni akija tu nae unaona huyoo anagonga hodi. Siku namwambia tuachane alilia kama mtoti
Nikiwa bado msichana nilidate kidogo na kaka mmoja hivi, kwakweli hadi leo sielewi alikuwa na tatizo gani na mimi,
Kwanza hata hakunitongoza ilitokea tu kufahamiana kupeana mawasiliano then tukajikuta tunawasiliana kwa simu kama mwezi hivi coz alienda mkoa mwingine kufungua office then akarudi, Aliporudi tukaonana tu siku hiyo hiyo. Tulivyoonana tu tukahug salamu tu mambo-poa, za siku - nzuri, nikachukua wine nikawa nakunywa apo mara touches zikaanza coz tulikutana kwake, mambo yakajipa tukagegedana basi jioni ikawa tayari akanirudisha kwetu, njiani kwenye gari hakuniongelesha kabisa nikajua kawaida tu, basi akanidrop home kimya kimya yaani ni ile bye bye. Basi Ndugu zangu nilijishtukia si kidogo nikajiuliza what have I done wrong , niliwaza sana baadae kama saa 5 usiku hivi akanitext akanichatisha how sex was good, ameenjoy na vitu kama hivyo. Angalau nikajipa moyo kuwa nothing was wrong.
Basi bwana mtindo ukawa hivyo kukutana, kuromance, kugegedana, kurudishwa home. Yaani hata mkienda out hamna stori ni kula kunywa na kurudi, yaani tunakuwa kama tumenuniana but ukimuangalia unagundua kabisa he is happy.
mhhh nikaja kumfahamu rafiki ake mmoja hivi nikamuuliza kuhusu tabia ya mshkaji wake akasema mbona ni mtu muongeaji tu wakiwa nae. Nikahisi labda hajanizoea, mtindo ukawa vilevile kuongea ni salamu tu au ukimuuliza swali atajibu kwa kifupi sana.
Siku moja akanitext saa saba uje somewhere ntakuwa na washkaji tupate lunch nikamwambia ntachelewa kama dakika 30 hivi, ila sikuchelewa hata dakika 2, kufika nikawaona wamekaa kona hivi wameipa mgongo sehemu yakuingilia, so naingia hawanioni isipokuwa mmoja ndo macho yalikuwa sehemu yakuingilia, jamani jamani nilimsikia mwanaume wangu anaongea yaani anaongea MC hamfikii, nikajiuliza huyu ndiye kweli, alivyoshtuka mi nipo nyuma yao alipoa kama maji na hakuongea hadi tunaondoka.
Siku nyingine nikamuomba anywe bia kama 7 hivi maana alikuwa sio mnywaji sanaaa, akanywa hoping labda akilewa ataongea wapiiii, hakuongea neno hata moja, jamani huyu sijui alikuwaje, mkimaliza kugegedana mkishaachana anaanza kukuchatisha, sijui how was it, kwangu it was so damn good sijui ninini, atakuchatisha kila mara anapopata muda ila hawezi kupiga simu hata siku moja, hata ukiwa nae physically haongeiiii, utamwambia kitu atajibu utamchekesha atacheka kidogo tu basi, ukimuuliza kama ana tatizo anajibu hana.
Maisha yakawa hivyo hivyo almost kwa miezi kadhaa nikawa naona ananiboaaa maana mi ni mtu wa utani sana afu muongeaji plus napenda kuchekaaa, nikawa bored nikampotezea nikamblock kabisa, tukapotezana kama miaka 5 hivi Nikaja kusikia amehama kikazi.
Majuzi nimekutana nae airport dar, nipo lounge ye alikuwa wa kwanza kuniona kaja kunisalimia baada ya salamu akakaa pembeni kimya kama hanijui. flight yao ikawa ya kwanza kuondoka kanipa business card eti unitafute tafadhali mfyuuu sijamtafuta hadi leo.
Acha uongo mkuu hii ni chai, huwezi muacha mtu kwa sababu ya ajabu kama hiyo.
Hivi kuna jinsia inayoongoza kuacha jinsia nyingine kwenye mapenzi kwa sababu za ajabu kama jinsia ya kiume??Acha uongo mkuu hii ni chai, huwezi muacha mtu kwa sababu ya ajabu kama hiyo.
nasubiria yako....Usiku mwema
Hahaha huamini aukweli eh....Haya
nisipo amini unafikiri nitakuwa natenda wema kweli....?Hahaha huamini au
Hahaha hay bwana karibu jamvinisipo amini unafikiri nitakuwa natenda wema kweli....?
ahsanteHahaha hay bwana karibu jamvi
Hii comment nimecheka kifalaaa[emoji23][emoji23]mie nilikutana na mpenzi mmoja ambae alikua akiniona tu anaanza kucheka tuu non-stop. mwanzo nilidhani "i was too funny", ila baadae nikaanza kuogopa isije kuwa na date na kichaa.