DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,346
Niliacha ndugu yangu. Sikuwa na nguvu tena na niliumia sana.Kwahyo ukaacha tena kufuga sio
Pole sana kijana alikuangusha. Ni kweli kuna vijana wavivu sana. Yani wengine ndio hivyo sio waaminifu na wengine wavivu. Mungu na akupatie mtu mchapa kazi unayeendana naye. Asante kwa ushuhuda wako.Nilipata idea ya kutengeneza sausage za kitimoto na beef ...nikapitia hatua zote....!...nikapata mafunzo kwa masister fulan hv wantengeneza sausge nzuri san zina ladha nikagharamika mafundisho!..
Later nikaagiza machine china, ..ss nikawa nimekubaliana na kijana anayetengeneza/aliyenifundisha zile sausage kuwa tufanye robbying aje kwangu...ila mlinzi yule wa pale kwa masister akaniambia dogo amefundishwa arts nyingi sn za kuchez na nyama na wa italiano lakini ni MVIVU sn hpend kujituma! So kuwa makini....kufupish stry nikapewa abc na sido kuwa na frem 3!(moja ya kuweke materials..nyinginr ya production na nyinginr kuhifadhia hzo sausge Nikapata nikalipa...! Nilimsubiri yule kaka zaidi ya kusema usubiri...hakutokea ..nikawa nimekula hasara tu...
Limashine lipo tu home😏!
Mishe nilizonazo ss hv alihamdulilah kila nikigusa panafunguka ingawa chngamoto ni mob!
Mie hd inafika hapa imecost 2m!...haijawh tumika kbs
Pole sana kijana alikuangusha. Ni kweli kuna vijana wavivu sana. Yani wengine ndio hivyo sio waaminifu na wengine wavivu. Mungu na akupatie mtu mchapa kazi unayeendana naye. Asante kwa ushuhuda wako.
Inasikitisha mtu ana uwezo sana na utaalamu na kipaji, lakini hakimsaidii yeye wala jamii hainufaiki. Kweli wahenga walivyosema kwenye miti hakuna wajenzi. Basi tujitahidi sisi binafsi kama kuna miti, basi tujenge. Manake tuchangamkie fursa zinazotujia kwa asilimia zote. Mungu akutangulie my friend katika shughuli zako zote za ujasiriamali.Yaan yule kaka Mungu akamguse tu akili yake ..alipelekwa italy kusomea mpishi akaspeciliaze kw aitalian foods ww nkbidhi nyama alafu ondok yaan anajua mno mno mapishi y nyama..kinifundisha vingi sn hd hizo jibini (cheese) uwii likapew machine likauza kwa bei ya hasara!.asante san mkuu..ni fursa nzuri san kule songea pia kuna masister wanatngeneza sausage nzur san san sana!...bs tu !
Inasikitisha mtu ana uwezo sana na utaalamu na kipaji, lakini hakimsaidii yeye wala jamii hainufaiki. Kweli wahenga walivyosema kwenye miti hakuna wajenzi. Basi tujitahidi sisi binafsi kama kuna miti, basi tujenge. Manake tuchangamkie fursa zinazotujia kwa asilimia zote. Mungu akutangulie my friend katika shughuli zako zote za ujasiriamali.
mashine gani hiyo ndugu tuwekeze pamojaMie kuna maishine inaniuma loho Sana sina uwezo wa kyuninua ningeoata ningekuwa tajiri Sana kwa kuzalisha Mali ghafi flani
Sent using Jamii Forums mobile app