Huyu ni msanii wa nini?Le mutuz
Mmmh. vile anavyofanya fanya kama mtoto wa kike,mie huku allergic kabisa YaaniSababu ni nini maserati
Msanii wa uozo TanzaniaHuyu ni msanii wa nini?
Kwani lazima kupiga nao picha. Mada za kitoto hiziNazungumzia wasanii wa hapa Tanzania, je ni msanii yupo hata mkutane porini mkiwa huwezi kutamani hata kupiga nae picha!?
Kwangu Mimi.
Rich Mavoko
Harmorapa
Harmonize
Dimpozi
Queen Darleen
Hata niwakute wako pekee yao siwezi kabisa kuphotoka nao
Jina lako linanifikirisha sanaOmmy dimpoz.. Hapana aisee sita dhubutu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siwezi kupiga picha na maguful
NB: ni mmoja wa wasanii asie na mvuto
Labda mrembo zaidiSababu ni nini maserati