Ni Msanii gani huwezi kuomba kupiga nae picha.

Ni Msanii gani huwezi kuomba kupiga nae picha.

Nazungumzia wasanii wa hapa Tanzania, je ni msanii yupo hata mkutane porini mkiwa huwezi kutamani hata kupiga nae picha!?

Kwangu Mimi.

Rich Mavoko
Harmorapa
Harmonize
Dimpozi
Queen Darleen

Hata niwakute wako pekee yao siwezi kabisa kuphotoka nao
Kwani lazima kupiga nao picha. Mada za kitoto hizi
 
Leo Leo nimekutana na hiki kijamaa H Baba hapa kitaa Mwanza na sijashoboka nacho wala nini
 
Siwezi kupiga picha na maguful
NB: ni mmoja wa wasanii asie na mvuto
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Back
Top Bottom