hakuna mtu anayependwa na kila mtu. kwani hakuna aliekamilikaNazungumzia wasanii wa hapa Tanzania, je ni msanii yupo hata mkutane porini mkiwa huwezi kutamani hata kupiga nae picha!?
Kwangu Mimi.
Rich Mavoko
Harmorapa
Harmonize
Dimpozi
Queen Darleen
Hata niwakute wako pekee yao siwezi kabisa kuphotoka nao
ni wasaniiKumbe nao ni wanamuziki kama ndio hata Mimi hao hapana taka nao picha
Ukweli ndio nimekumbuka mungu Wa dar alisema dunia sio ya Munguni wasanii
Pia ni shoga akiwa na mashoga wenzie wanaoingizwa midoleez!Kijana mdogo wa miaka 63 Le Mutuz (na yeye pia msanii inapobidi kuwa msanii, mfanyabiashara akiwa na wafanyabiashara bila kusahau mwanasiasa akiwa na DAB)
[emoji40] [emoji40] [emoji40] sina mkojoMwanasiasa yoyote wa kijani.
FYI : Siasa ni sanaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]baba jei na kijana wake bashite
Umeelewa thread kweli anyway sikumuomba jamaa picha kwa sababu simkubali.we ulitaka umwambieje jamaa......au uliogopa tu....sio lazima mind ur own business
Hii JF inabidi liwe na baraza la maadili, Haha, DuhUnaulizwa tako unajibu hips