zeggge
Member
- Oct 12, 2017
- 46
- 64
hakuna mtu anayependwa na kila mtu. kwani hakuna aliekamilikaNazungumzia wasanii wa hapa Tanzania, je ni msanii yupo hata mkutane porini mkiwa huwezi kutamani hata kupiga nae picha!?
Kwangu Mimi.
Rich Mavoko
Harmorapa
Harmonize
Dimpozi
Queen Darleen
Hata niwakute wako pekee yao siwezi kabisa kuphotoka nao