Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
Hahahahahahahahahaha mimi napendaga sana kusoma makomenti kuliko hata kuziandikaGigy money .. Sijui hata anaimbaga nini yule mdada jamani khaa!
Wema sepetu.... ananenepa hips ila kiakili hata hajitambui ananikwaza sana na maisha ya kiistagram
hata mm gigy money nyimbo yake ciijuiGigy money .. Sijui hata anaimbaga nini yule mdada jamani khaa!
Wema sepetu.... ananenepa hips ila kiakili hata hajitambui ananikwaza sana na maisha ya kiistagram
Supu ... Kuna mwingine tena sijui katoa anajua mwenyewehata mm gigy money nyimbo yake ciijui
Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
mm walaaSupu ... Kuna mwingine tena sijui katoa anajua mwenyewe
kura rike yanguStamini...huyu ni mtu mfupi mjivuni na asojua lolote liwalo katika tasnia ya HIP HOP
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
ney asipo kuingia akilini atakuingia maungoni[emoji23][emoji23]Kila mtu ana anachokipenda na anachokichukia mm kwa upande wangu mastaa ambao siwakubali ni hawa wafuatao
(i)Harmorapa-hasa misifa yake
(ii) Ney wa mitego- huyu hata haniingii akilini
Wapo kibao but main ni hao
wewe jee
Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
Na ww umetoa papa?GIGY MONEY SIYO WA MCHEZO MCHEZO UMELISIKIA GOMA LAKE LA NAMPA PAPA😱😱
Hee! Hii ni lugha gani wewe?kura rike yangu
Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile App