Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
Kila mtu ana anachokipenda na anachokichukia mm kwa upande wangu mastaa ambao siwakubali ni hawa wafuatao
(i)Harmorapa-hasa misifa yake
(ii) Ney wa mitego- huyu hata haniingii akilini
Wapo kibao but main ni hao
wewe jee
Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App
(i)Harmorapa-hasa misifa yake
(ii) Ney wa mitego- huyu hata haniingii akilini
Wapo kibao but main ni hao
wewe jee
Sent from my Samsung galaxy- S7 edge using Jamiiforum mobile App