Ni msanii gani wa HIPHOP ni mkali wa Storytelling song

Miguel Alvarez

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2019
Posts
2,856
Reaction score
5,430
Natumaini wote ni wazima humu jamvini poleni na majukumu pia..! Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mm ni mpenzi sana wa Ngoma za Hiphop leo na taka tushare pamoja kuhusu Rappers wa kibongo hata huko majuu(ulaya) je ni msanii gani ni best kwa Storytelling song kwa mimi msanii wa kibongo ambaye naona yuko poa kwenye story telling song naanza na Msanii CHINDO MAN kutoka watengwa crew na kwa ulaya namuona SCARFACE kutoka Ghetto boys ,STICKY FINGAZ kutoka Onyx,unaweza kuongeza wengine na pia sio mbaya ukatupia na jina la nyimbo pia kama itawezekana
 
Kuna moja ya ya SCARFACE inaitwa I never seen a man cry iko moto sana
 
Kwa American Rapper nampa STICKY FINGAZ nymbo Kama Rob & Vicky,Kuna nyingine inaitwa Veronica ni noma sana jamaa anasimulia unaona kama muvi vile huku mtu anachana hahahahaahaahaa huwa napenda sana hz mambo😁
 
Ni story ambayo sogy alitusimulia history kuhus yeye na bint fulan[emoji106] kibanda cha sim kinachompa sogy wazim ilikuwa hatr saana enz hizo
Enzi hizo ilikuwa noma huku mtoto wa geti kali ya Inspekta Haroun ,huku jumapili nature inaniuma sana 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…