Future Earth
Member
- Apr 13, 2021
- 35
- 87
Kwa kibongo bongo nadhan Dizasta kwa kizazi hiki hamna anayemfikia....mbele kwa sasa hivi ndahan JOYNER LUCAS ooh anawasha moto sana...kuna remix kapiga na bwana mkubwa Will Smith inaitwa WILL...ndani kaua sana Will Smith, ila Joyner yuko njema.
Kwa zamani hapo USA aseh napenda story za Immortal Technique kuna ngoma ake Dance with the Devil [emoji48] aseh ni zaidi ya movie...ngoma zake nying ni story tamu KUSIKILIZA.
Kwa zamani hapo USA aseh napenda story za Immortal Technique kuna ngoma ake Dance with the Devil [emoji48] aseh ni zaidi ya movie...ngoma zake nying ni story tamu KUSIKILIZA.