Ni msanii gani wa HIPHOP ni mkali wa Storytelling song

Kwa kibongo bongo nadhan Dizasta kwa kizazi hiki hamna anayemfikia....mbele kwa sasa hivi ndahan JOYNER LUCAS ooh anawasha moto sana...kuna remix kapiga na bwana mkubwa Will Smith inaitwa WILL...ndani kaua sana Will Smith, ila Joyner yuko njema.
Kwa zamani hapo USA aseh napenda story za Immortal Technique kuna ngoma ake Dance with the Devil [emoji48] aseh ni zaidi ya movie...ngoma zake nying ni story tamu KUSIKILIZA.
 
Mi sitaconclude kua msanii flani ndie best kwa story teller ila nazani kuna nyimbo ambazo n hatari na hizo ni zile ambazo nazikubali sana...

1. Songa usiku
2. Fid q ripoti za mtaani
3. Nash mc mitihani
4. Chindo man penati ya mwisho
5. X plasters Ushanta (hii ngoma ni balaa)
6. Dizasta Hatia
7. Jay mo story tatu
8. Pro. J chemsha bongo (noma sana)
9. Nikki mbishi play boy
10. Rapcha kisanga
 
Rapcha over.
 
Slick Rick, J Cole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…