Ni msanii yupi unadhani atamrithi ustaa Diamond kwa hivi vigezo nilivyotaja?

Ni msanii yupi unadhani atamrithi ustaa Diamond kwa hivi vigezo nilivyotaja?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
kuwa staa ni mtaji mkubwa sana kwa msanii, unaweza kufanya kitu cha kawaida tu ila kikapewa sapoti mno na kuonekana kikubwa, mbali na kazi za sanaa kuwa staa ni kuwa na sifa kama za huyu kijana wetu mtanzania anaetuwakikisha vilivyo nje ya mipaka:

*Fashion, namna anavyovaa.
*Mwonekano, Asikwambie mtu mwonekano hasa body unasaidia sana kuigusa hadhira.
*Kujithaminisha, jifanye ghali sio wa rahisirahisi.
*Dance/Cheza, Hili hadhira inafurahishwa nalo sana!
*Life style ya kisanii.
*kujichanganya na watu na kutokuwa na madharau au kuringa
*Mbinu kali katika kutafuta na kuyaona masoko ya muziki/bidhaa yako.
 
Izo zote H baba anazo sema tu hana uo mda

SUBIRI KIDOGO
 
Kama ambavyo dunia haijapata jibu baada ya Ronaldo na Messi atafuata nani. Japo wapo watakaofuata na wakawa zaidi ila itachukua muda. Vivo hivyo kwa nanii hii na mwenzie nanii ...
 
Back
Top Bottom