kuwa staa ni mtaji mkubwa sana kwa msanii, unaweza kufanya kitu cha kawaida tu ila kikapewa sapoti mno na kuonekana kikubwa, mbali na kazi za sanaa kuwa staa ni kuwa na sifa kama za huyu kijana wetu mtanzania anaetuwakikisha vilivyo nje ya mipaka:
*Fashion, namna anavyovaa.
*Mwonekano, Asikwambie mtu mwonekano hasa body unasaidia sana kuigusa hadhira.
*Kujithaminisha, jifanye ghali sio wa rahisirahisi.
*Dance/Cheza, Hili hadhira inafurahishwa nalo sana!
*Life style ya kisanii.
*kujichanganya na watu na kutokuwa na madharau au kuringa
*Mbinu kali katika kutafuta na kuyaona masoko ya muziki/bidhaa yako.