Ni msego gani unatamba eneo ulilopo kwa sasa na una maana gani.?

Ultimate

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2016
Posts
739
Reaction score
1,888
Kiuna vi mesemo vinatumika mitahani, ofisini, vijiweni, sehemu ya kula/kunywa au unatumika chuoni
Kama kuna kimsemo kinacho vuma sehemu uliopo tuambie ni kipi na kina maana gani
Zangu mm ni hizi
1. Kula mkono - kupiga puli
2. Stoo - dirisha/chumba la kupokea ela
3. Guruneti - kalio (eg: umeona ilo guruneti "hapa kama sio mjuzi huwezi jua")
4. .....
Ongeza za kwako
msemo na maana yake
 
Halafu?
 
Mhh huku kwetu hatuna misemo mipya
 
mwanaume wa mkoani utamjua kwa maneno yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…