Ni msemo/maneno gani yanakuudhi sana kwenye jamii?

Kichangiri

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
331
Reaction score
675
Aisee mimi haka kamsemo ka “kama yote” nakachukia kutoka moyoni
Wewe msemo gani huupendi na unatumika kwa sasa
 
'Mungu Yupo na anasaidia'
mtu akiandika au kusema hivo, natamani nimfanyeje sijui! namuona ni zaidi ya ****!
 
Pambana na hali yako haka kamsemo sikapendi
 
"Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria"
siupendi sanaa
 
kuna limsemo hili la wadada wakijinga jinga.. "upo nyonyo" alafu lidada jingine linajibu "nipo ziwa"
unanikera sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…