Kichangiri
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 331
- 675
Aisee mimi haka kamsemo ka “kama yote” nakachukia kutoka moyoni
Wewe msemo gani huupendi na unatumika kwa sasa
Wewe msemo gani huupendi na unatumika kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PIGA KELELEEEEEEEEEEEEEEEEEAisee mimi haka kamsemo ka “kama yote” nakachukia kutoka moyoni
Wewe msemo gani huupendi na unatumika kwa sasa
Kamsemo hako kanaonyesha uchovu wa soka letu,eti ndio maelezo ya kiufundi ya timu kufanya vibaya uwanjani, nakachukia piakasemo "mpira unamatokeo matatu, kushinda, kufungwa na droo" nakachukia sana.
wangenipasua moyoni msemo unanichefua huoWatapata tabu sana
sijawahi kupenda maneno ya misimuAisee mimi haka kamsemo ka “kama yote” nakachukia kutoka moyoni
Wewe msemo gani huupendi na unatumika kwa sasa