Ni msemo/maneno gani yanakuudhi sana kwenye jamii?

Ni msemo/maneno gani yanakuudhi sana kwenye jamii?

hapa kazi tu

alafu ukicheki sina hata hela mfukoni na kazi sina

aaaargh huwa napatwa na ghazabu sana
 
Back
Top Bottom