dua la kuku. vifaranga nitaendelea kula tu
Vimepakwa rangi ya blue na zambarau, ndio maana unatanga na njia kuvitafuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dua la kuku. vifaranga nitaendelea kula tu
Vimepakwa rangi ya blue na zambarau, ndio maana unatanga na njia kuvitafuta.
Xpin umejuaje tena??!Mwanakijiji karibu, Jukwaa mahusiano,
Upate yetu mahabu, Siasa ni migongano,
Watakuvuta sharubu, Raha upate mswano,
Jukwaa mahusiano, Hapa ni kwako nyumbani.
Siasa ni kitu gani, Kichwa wajiumizia,
Mapenzi ni yako fani, Hakika umebobea,
Njoo tupe burudani, na hekima yako pia,
Mapenzi mahusiano, Jukwaa lakuhitaji
Xpin umejuaje tena??!
Hapa sasa naona Shaaban Robert atafufuka sasa hivi kukupa mkono kwa niamba ya manguli wenzie wa lugha alafu arudi kupumzika.Mwanakijiji karibu, Jukwaa mahusiano,
Upate yetu mahabu, Siasa ni migongano,
Watakuvuta sharubu, Raha upate mswano,
Jukwaa mahusiano, Hapa ni kwako nyumbani.
Siasa ni kitu gani, Kichwa wajiumizia,
Mapenzi ni yako fani, Hakika umebobea,
Njoo tupe burudani, na hekima yako pia,
Mapenzi mahusiano, Jukwaa lakuhitaji
Hapa sasa naona Shaaban Robert atafufuka sasa hivi kukupa mkono kwa niamba ya manguli wenzie wa lugha alafu arudi kupumzika.