Ni msimu gani na mafanikio gani makubwa yaliyofikiwa na Simba SC toka ianze kufanya Pre Season nje ya nchi?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
NALIA NGWENA nimejiuliza swali Hilo baada ya kuona Simba sc kila msimu wanakimbilia nje ya nchi lakini ukija kuchunguza mafanikio ni zero (no improvement).

Siwezi kuwa mmoja wa mbumbumbu kupiga makofi/kusifia timu kwenda kufanya maandalizi nje ya chi wakati hakuna inachokipata zaidi ya fedheha tu.

Simba sc kwenda kufanya maandalizi nje ya nchi (uturuki ) ni matumizi mabaya ya fedha tu.
 
Mafanikio ya nafsi huwezi yaona..ww kwako mafanikio mpk kombe?
 
wamepata dili la kwenda kuingizia sauti kwenye tamthilia ya Etuglu bay hawana lolote,subiri msimu uanze ndo utaamini maneno yangu
 
Unataka kipi.
Kati ya kuonyeshwa mafanikio ya Simba Sc au unahoji juu ya kambi ya nje ya nchi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…