Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Ishara Mpaka uzae Tyr ntakuwa nmejipangaHabarini wakuu,
Kuna ule wimbo wa Rayvanny "Unaibiwa" yaani huu wimbo unarelate sana mambo ya mahusiano na kudate kwa sasa.
"Unadhani niwapeke ako
Kumbe wengine wameshaweka kambi
Kakupendea macho
Wapo wengine kawapendea rangi
'Ye ni gari la dampo
Hachagui taka dereva mpe ganji
Wakubadili sample
Akila mihogo karoti hazipandi
Unaibiwa, unaibiwa
Unaibiwa, unaibiwa"
Ukiambiwa uelezee ahali ya mahusiano yako kwa sasa ungetumia mstari wa wimbo gani wa Bongo Fleva?
Polee Mkuu We Achana na Mahusiano🤣 🤣 Kwa Hali Ya Mahusiano Yangu Ni Nyimbo Ya Diamond Am Single Again😂😂