Ni Mtandao gani kwa sasa Tanzania ni Salama na Haraka kufanya Manunuzi Online?

Ni Mtandao gani kwa sasa Tanzania ni Salama na Haraka kufanya Manunuzi Online?

Sir Alex

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
15
Reaction score
3
Habari za Jioni wana JF naomba niweze kupata platform gani Tanzania kwa sasa iko safe and Haraka kwa Kufanya manunuzi kwa Njia ya Mtandao?. Maana nasikia kwa Sasa KIKUU Wanasumbua sana.
ASANTE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sa hivi platform nyingi zinachelewesha kwa kigezo cha corona,unatakiwa kujiandaa kwa hilo pia


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom