Kama hawatumii picha zao halisi ni vigumu kujua, labda ungeuliza wenye avatar kali[emoji849]!Jf ina watu tofauti na wenye kujua vitu vingi, naomba tusaidiane.
Ni social network gani ina watoto wakaliii, ikiwezekana na link ueke. Karibuni tupeane mautundu.
sent using samsung galaxy s8
Akikujibu nitag Wanyumbani. 😂😂
Wanyumbani kaka mbalizi kaongea kama alikuja kikazi humu kanishtua.. ntakuita tushangae woteAkikujibu nitag Wanyumbani. [emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kutafuta warembo waliokomaa kiakili [emoji3] [emoji3]
Anhaaa. Niishie hapa[emoji3] [emoji3] [emoji3] kutafuta warembo waliokomaa kiakili [emoji3] [emoji3]
Mie mwenyewe kanshangaza Wanyumbani ila wajua tena simmudu. Ila angalau umemfungukia nitapatamo jibu na mie.Wanyumbani kaka mbalizi kaongea kama alikuja kikazi humu kanishtua.. ntakuita tushangae wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeeeaaah Of course[emoji3] [emoji3]Hahahaaa. Andika misemo tu Mbalizi.
Ila niseme tu siku zote jf ni tamu kuliko asali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
WoooiiiiiiAkikujibu nitag Wanyumbani. [emoji23][emoji23]
HahahaaaaWanyumbani kaka mbalizi kaongea kama alikuja kikazi humu kanishtua.. ntakuita tushangae wote
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 hivyo kuondoka ni hadithi kama hadithi nyingine si eti eeee?Yeeeaaah Of course[emoji3] [emoji3]
Wooooiiiiii woooooiiiiiu
Mngh!Mie mwenyewe kanshangaza Wanyumbani ila wajua tena simmudu. Ila angalau umemfungukia nitapatamo jibu na mie.
Ewaaaaaaa. Ntakuja mwaya tushangae Watanga sie.
Huenda alikuja mahususi kabisa "kuwajua" wadada wa jf, akishamaliza kuwajua vya kutosha ataachana na jf..teh kidding!!
Mzigua nini? Mwambie ndugu yangu kazi gani ilikuleta huku na mie nipatamo kujua. 🙈🙈Hahahaaaa
Mzigua baaana
Sidhani- naifananisha na wewe kuwa mchumi kwenye bandle ktk mitandao mingine ya kijamii except jf[emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivyo kuondoka ni hadithi kama hadithi nyingine si eti eeee?
HahahaaaaHuenda alikuja mahususi kabisa "kuwajua" wadada wa jf, akishamaliza kuwajua vya kutosha ataachana na jf..teh kidding!!
YawezekanaHuenda alikuja mahususi kabisa "kuwajua" wadada wa jf, akishamaliza kuwajua vya kutosha ataachana na jf..teh kidding!!
Si umemuona kashindwa kutoa jibuMzigua nini? Mwambie ndugu yangu kazi gani ilikuleta huku na mie nipatamo kujua. [emoji85][emoji85]