Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna wazuri wa sura lkn si wazuri wa moyoni yaani hawajui upendoWazuri mkuu kwani kuna makundi ya wazuri?
sent using samsung galaxy s8
Jamaa unamatani sana [emoji16]Instagram wamejaa waigizaji demu mkali kama ciara ukikutana nae live anafanana na domokaya
Facebook wamejaa wa koromije.
Jamiiforums ila wanawake smart kichwani na mara nyingi smart women ni ugly
HITIMISHO: Badoo is the best japo naisikiaga tu
Wale wazuri wa sura na tabiakuna wazuri wa sura lkn si wazuri wa moyoni yaani hawajui upendo
kuna wazuri wa ndani ila hawana mvuto hawa ni bora
kuna wazuri kwa kuwaangalia kwa nje lkn ukiingia ndani utajuta kuzaliwa
kuna wazuri wa sura ila ni wabaya wa tabia
hahahahahahah umenifurahisha hapo kwenye ugly...kwa taarifa yako hakuna mwanamke ugly kabisa labda ashindwe tu kuogaInstagram wamejaa waigizaji demu mkali kama ciara ukikutana nae live anafanana na domokaya
Facebook wamejaa wa koromije.
Jamiiforums ila wanawake smart kichwani na mara nyingi smart women ni ugly
HITIMISHO: Badoo is the best japo naisikiaga tu
hahahahahahah umenifurahisha hapo kwenye ugly...kwa taarifa yako hakuna mwanamke ugly kabisa labda ashindwe tu kuoga
I always tell my fellow women to oga vizuri na kujipaka vaseline...that is all, hizo nyingine ni mbwembwe tu and still you/we will look good.
Ni hayo tu sitaki virungu kuwa najitetea
teh teh
hapana aiseeeunamfaham akothee?
TantanNtaingia badoo nijionee hao watoto wa kali
sent using samsung galaxy s8
Well said mkuuWanawake wazuri au picha nzuri za wanawake? . Wanawake wazuri wako mtaani kwenu mkuu sio mitandaoni.
Kuna mahali nakuita hata huji waaiii[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Hivi wajua sio notification swirly!!Kuna mahali nakuita hata huji waaiii[emoji57] [emoji57] [emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app