Ni mtandao gani wa kijamii una wanawake wazuri

Dah! sijui nijibu nini hapa,maana huku mtandaoni kila mtandao hakuna mbaya.
 
Jf ina watu tofauti na wenye kujua vitu vingi, naomba tusaidiane.
Ni social network gani ina watoto wakaliii, ikiwezekana na link ueke. Karibuni tupeane mautundu.

sent using samsung galaxy s8
Wazuri wepi unaowatafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…