Ni mtandao gani wa kijamii una wanawake wazuri

Wazuri mkuu kwani kuna makundi ya wazuri?

sent using samsung galaxy s8
kuna wazuri wa sura lkn si wazuri wa moyoni yaani hawajui upendo
kuna wazuri wa ndani ila hawana mvuto hawa ni bora
kuna wazuri kwa kuwaangalia kwa nje lkn ukiingia ndani utajuta kuzaliwa
kuna wazuri wa sura ila ni wabaya wa tabia
 
kuna wazuri wa sura lkn si wazuri wa moyoni yaani hawajui upendo
kuna wazuri wa ndani ila hawana mvuto hawa ni bora
kuna wazuri kwa kuwaangalia kwa nje lkn ukiingia ndani utajuta kuzaliwa
kuna wazuri wa sura ila ni wabaya wa tabia
Wale wazuri wa sura na tabia

sent using samsung galaxy s8
 
Instagram wamejaa waigizaji demu mkali kama ciara ukikutana nae live anafanana na domokaya

Facebook wamejaa wa koromije.

Jamiiforums ila wanawake smart kichwani na mara nyingi smart women ni ugly

HITIMISHO: Badoo is the best japo naisikiaga tu
hahahahahahah umenifurahisha hapo kwenye ugly...kwa taarifa yako hakuna mwanamke ugly kabisa labda ashindwe tu kuoga
I always tell my fellow women to oga vizuri na kujipaka vaseline...that is all, hizo nyingine ni mbwembwe tu and still you/we will look good.

Ni hayo tu sitaki virungu kuwa najitetea

teh teh
 

unamfaham akothee?
 
Mwanamke akitaka kutuma ujumbe wa sauti kwenye whatsapp hili sauti iwe nyololo

Lazima aende chooni akakooe kama kabanwa na mwiba wa samaki

Ukikutana nae live hiyo sauti yake... Kama kondakta wa daladala [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…