Vodacom ndio wana latency ndogo, hata Halotel kama upo eneo zuri unapata 4G yao full sio wabaya, mitandao yote ya 3G na 4G ina local ping chini ya 80ms mingi inacheza 20 mpaka 30ms local.Natafuta mtandao wa simu wenye upload na download latecy ndogo.
Kwenye local server uwe 80 ms na portland OR server (Century Link) iwe chini ya 250ms.
Chief-Mkwawa
Fani za watu ziheshimiwe sanaVodacom ndio wana latency ndogo, hata Halotel kama upo eneo zuri unapata 4G yao full sio wabaya, mitandao yote ya 3G na 4G ina local ping chini ya 80ms mingi inacheza 20 mpaka 30ms local.
Pia kama una 5G wote Tigo, Voda na Airtel watakupa Latency nzuri.
Kwa UK hapo ndio muhimu pa kuangalia maana si tu local ping bali route inayotumika, unaweza kuta ili uwasiliane na UK waya unatoka TZ, unaenda South Africa, upitie South America, Usa hadi UK, wakati Isp mwengine anakatiza katikati Africa anatokea Morocco Ulaya hiyo.
Hii Tigo nime ping Century link, Latency zaidi ya 300ms
View attachment 2717626
Nikipata mda nitakuchekia isp wengine kwa hio server.
Pia kama unacheza game ama kufanya kitu serious stability pia muhimu
Nmejaribu halotel na airtel hapa nilipo speed za download na upload ni zaidi ya 20mbs lakini ping ni zaidi ya 400 kwa local na portland airtel ni 600 halotwl kuna muda imefika hadi 1000Vodacom ndio wana latency ndogo, hata Halotel kama upo eneo zuri unapata 4G yao full sio wabaya, mitandao yote ya 3G na 4G ina local ping chini ya 80ms mingi inacheza 20 mpaka 30ms local.
Pia kama una 5G wote Tigo, Voda na Airtel watakupa Latency nzuri.
Kwa UK hapo ndio muhimu pa kuangalia maana si tu local ping bali route inayotumika, unaweza kuta ili uwasiliane na UK waya unatoka TZ, unaenda South Africa, upitie South America, Usa hadi UK, wakati Isp mwengine anakatiza katikati Africa anatokea Morocco Ulaya hiyo.
Hii Tigo nime ping Century link, Latency zaidi ya 300ms
View attachment 2717626
Nikipata mda nitakuchekia isp wengine kwa hio server.
Pia kama unacheza game ama kufanya kitu serious stability pia muhimu
Niko bagamoyo mkuu. Nahitaji kwa ajili ya online calls za kazi dailyupo mkoa gani sehemu ipi.
unatumua simu gani
unataka hio speed kwa kazi zipi
Halotel ni 4G mkuu? Ama 3G?Nmejaribu halotel na airtel hapa nilipo speed za download na upload ni zaidi ya 20mbs lakini ping ni zaidi ya 400 kwa local na portland airtel ni 600 halotwl kuna muda imefika hadi 1000
Sana aisee. Wengine kudownload VPN tu tunahitaji msaada.Fani za watu ziheshimiwe sana
4g mkuuHalotel ni 4G mkuu? Ama 3G?
Hapo uliobakia ni Voda tu mkuu, kama kuna mtu ana Voda akusaidie kutest, ila still 600ms kubwa sana, hilo ni tatizo la routing, ukicheza vizuri na Vpn unaweza kuishusha.4g mkuu
Kabisaa Mkuu, maana mimi nimetoka Kapa🤣🤣Fani za watu ziheshimiwe sana
Kitu kigeni kabisa kwangu mkuu😂Kabisaa Mkuu, maana mimi nimetoka Kapa🤣🤣