Ni mtangazaji gani wa Tv ama Radio anakuvutia?

Ni mtangazaji gani wa Tv ama Radio anakuvutia?

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Nikiwasha Itv Na Nikamsikia Farhia Midley Akitangaza Napata Faraja.Natamani Aendelee Kutangaza Na Kutangaza Tu.Kinachonivutia Ni Ile Sauti Yake Na Usomaji Wake.Sijamtamani Nieleweke!! Nasema Napenda Sauti Yake.Je Wewe Umeshawahi Kupenda Kusikia Sauti Ya Mtu Fulani Katika Media Ama Hapo Ulipo??
 
Namkubali sebastian ,alikua EA radio kipindi cha late 9t zamani ,sahv yupo choice fm jna la kipindi nimesahau ,jamaa ni amazing..
 
Farhia midley....

Nampenda saana kwenye kile kipind cha jumapil cha mazungumzo ya familia


Millad ayo huyu jamaaa nananiafanya niskilize clauds fm....

E-FM.. bwana maulid kitenge
 
Maulid Wa Kitenge Afu Godwin Gondwe Nae Yupo Makini
 
kule mwanza kuna jamaa anaitwa samwel chemu wa metro fm! hatari sana kwa ile sauti na mpangilio wa kuzungumza
 
Deogratius Mwiyunga
you know what ??
 
yupo yule naniihii vumilia nanihiiii wa itv jamani bas tu sema nimepotea jukwaa mwambieni ani pm
 
Sio Wa Radio One Kweli??Beti Mkwasa Sa Ivi Ni Mkuu Wilaya Nae Alikua Poa Sana!!
 
Jamani Vumilia Mwasha Naye Ana Sauti Ya Kipekee.Watangazaji Wa Itv Na Tbc Naona Kuna Tofauti Fulani
 
Noma sana mods sijui mtakuwa na number za huyu mrembo
Zuhura%2BYunus.png
 
Mimi mwenyewe najikobali sana, kila nikijirkodi na kujisikiliza
 
Gigy-money East Africa Tv/Radio...:A S shade::A S shade::A S shade:
 
Back
Top Bottom