Ni mtangazaji gani wa Tv ama Radio anakuvutia?

Ni mtangazaji gani wa Tv ama Radio anakuvutia?

Nikiwasha Itv Na Nikamsikia Farhia Midley Akitangaza Napata Faraja.Natamani Aendelee Kutangaza Na Kutangaza Tu.Kinachonivutia Ni Ile Sauti Yake Na Usomaji Wake.Sijamtamani Nieleweke!! Nasema Napenda Sauti Yake.Je Wewe Umeshawahi Kupenda Kusikia Sauti Ya Mtu Fulani Katika Media Ama Hapo Ulipo??

Ka ujamtamani kwanini umeweka jukwaa ili?

FARHIA MIDDLE AKIRI KUTWANGANA STUDIO - Global Publishers
https://hivisasa.co.tz/udaku/mapenzi-yamliza-mtangazji-farhia-middle
FARHIA MIDDLE AKIRI KULIZWA NA MAPENZI - Global Publishers
 
Kuna yule kaka anaendesha michezo ITV kila j2 sanane. Jina limenitoka hua sichoki kumwangalia
 
Kwa tv muonekano, Jacklin Selemu wa itv...napenda midomo yake anavyoongea.....Redioni, Bi Husna wa clouds...sauti yake mashallah.

....ofcoz na Milard.
 
Jamani yule Samson Charles wa EATV kuna mwenye namba zake?
 
Back
Top Bottom