Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sikiliza radio 1 saa mbili kamili asubuhi huu ni mwaka zaidi ya wa kumi namsikiliza hajawahi kuniboa
Nikiwasha Itv Na Nikamsikia Farhia Midley Akitangaza Napata Faraja.Natamani Aendelee Kutangaza Na Kutangaza Tu.Kinachonivutia Ni Ile Sauti Yake Na Usomaji Wake.Sijamtamani Nieleweke!! Nasema Napenda Sauti Yake.Je Wewe Umeshawahi Kupenda Kusikia Sauti Ya Mtu Fulani Katika Media Ama Hapo Ulipo??
Upande wa Tv sina kwa sababu nilipo tv shida kwa radio namkubali sana Dada Machrin Kamote wa Abood radio.
moja...HEMEDI KIVUYO WA ITV
mbili...mzee wa ZAMADAMU TBC.