Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MimiSwali kwenu wadau..
Ila kwa upande wangu, sioni kama kuna mtanzania maarufu zaidi kwa Tanzania, na nje ya Tanzania kumzidi DIAMOND PLATNUMZ
Na kuja kutokea mtu kama huyu itachukuwa vizazi na vizazi, kama ilivyo kwa umaarufu wa Michael Jackson duniani.
Kwakua alionesha nyonyo hadharanishishi baby
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwakua alionesha nyonyo hadharani
Swali kwenu wadau..
Ila kwa upande wangu, sioni kama kuna mtanzania maarufu zaidi kwa Tanzania, na nje ya Tanzania kumzidi DIAMOND PLATNUMZ
Na kuja kutokea mtu kama huyu itachukuwa vizazi na vizazi, kama ilivyo kwa umaarufu wa Michael Jackson duniani.
HANA TISHA?,ahahaha ilo alina ubishi